Swahili Chapter 6 Vocab

  1. Mdudu, Wadudu
    Insect (s)
  2. Mgeni, Wageni
    Stranger (s)
  3. Mgonjwa, Wagonjwa
    Patient (s)
  4. Mjomba, Wajomba
    Uncle (s)
  5. Mke, Wake
    Wife (Wives)
  6. Mkristo, Wakristo
    Christian (s)
  7. Mkulima, Wakulima
    Farmer (s)
  8. Mnyama, Wanyama
    Animal (s)
  9. Mpishi, Wapishi
    Cook (s)
  10. Mischana, Wasichana
    Young Girl (s)
  11. Mtoto, Watoto
    Child (ren)
  12. Mtu, Watu
    Person (people)
  13. Mume, Waume
    Husband (s)
  14. Mvulana, Wavulana
    Young man (men)
  15. Mwalimu, Walimu
    Teacher (s)
  16. Mwana, Wana
    Child (ren), Son/Daughter
  17. Mwanafunzi, Wanafunzi
    Student (s)
  18. Mwanamke, Wanawake
    Woman (women)
  19. Mwanaume, Wanaume
    Man (men)
  20. Mwingereza, Waingereza
    English (people)
  21. Mwislamu, Waislamu
    Muslim (s)
  22. Mwizi, Wezi
    Theif (s)
  23. Mzee, Wazee
    Old Man, Men
  24. Mzungu, Wazungu
    White Man, Men
  25. Rafiki
    Friend
  26. Kibarua, Vibarua
    Laborer (s)
  27. Kijana, Vijana
    Youth (s)
  28. Kipofu, Vipofu
    Blind Man (men)
  29. Kiziwi, Viziwi
    Deaf Person (s)
  30. Bwana, Mabwana
    Sir, Master (s)
  31. Bibi, Mabibi
    Ma'am, Ladie (s)
  32. Dereva, Madereva
    Driver (s)
  33. Kuandika
    To Write
  34. Kucheza
    To Play
  35. Kuchora
    To Draw
  36. Kufagia
    To Sweep
  37. Kufanya Kazi
    To Work
  38. Kuingia
    To Enter
  39. Kulia
    To Cry
  40. Kulima
    To Farm
  41. Kupita
    To Pass
  42. Kuruka
    To Jump/Fly
  43. Kutoka
    To Leave, Come From
  44. Kuvunja
    To Break
Author
denverB183
ID
97085
Card Set
Swahili Chapter 6 Vocab
Description
Vocab list from chapter 6 of mwanasimba.online.fr/E_Chap06.htm
Updated