Swahili_English_QuickStart

 1. cafe
  mkahawa
 2. hotel
  hoteli
 3. museum
  jumba la makumbusho
 4. arm
  mkono
 5. emergecy
  dharura
 6. head
  kichwa
 7. hospital
  hospitali
 8. I am hurt.
  Nimeumia.
 9. I need help.
  Ninahitaji msaada.
 10. leg
  mguu
 11. five
  tano
 12. four
  nne
 13. Go up those stairs.
  Naenda juu kwa ngazi ile.
 14. money
  fedha
 15. passport
  pasipoti
 16. six
  sita
 17. to count
  -hesabu
 18. traveler's check
  hundi ya safari
 19. Turn left.
  Geuka kwa upande wa kushoto.
 20. Turn right.
  Geuka kwa upande wa kulia.
 21. Check-in time
  wakati unapoweza kupata chumba cha hoteli
 22. check-out time
  wakati ambapo huna budi kuondoka chumbani
 23. eight
  nane
 24. eleven
  kumi na moja
 25. nine
  tisa
 26. noon
  adhuhuri
 27. room
  chumba cha hoteli
 28. seven
  saba
 29. ten
  kumi
 30. What is your rate?
  Bei yako ni gani?
Author
waithaka
ID
95710
Card Set
Swahili_English_QuickStart
Description
Swahili English Quick Start
Updated