Swahili_English_Time

  1. Could you please tell me what time it is?
    Uniambie, tafadhali, sasa ni saa ngapi?
  2. Is that the correct time?
    Ni wakati sahihi?
  3. It is midnight.
    Sasa ni usiku wa manane.
  4. It is noon.
    Sasa ni adhuhuri.
  5. It is ten at night.
    Sasa ni saa nne za jioni.
  6. It is three in the afternoon.
    Sasa ni saa tisa za mchana.
  7. It is two in the morning.
    Sasa ni saa nane za usiku.
  8. What time is it?
    Sasa ni sa ngapi?
Author
waithaka
ID
95707
Card Set
Swahili_English_Time
Description
Telling time in Swahili.
Updated