2A. Vocabulary Warm-Up

 1. baba yangu
  my father
 2. mama yangu
  my mother
 3. kaka yangu
  my older brother
 4. dada yangu
  my sister
 5. Karibu nyumbani.
  Welcome (to my) Home.
 6. Unaishi wapi?
  Where do you live?
 7. Unakaa wapi?
  Where do you live? Where do are you staying?
 8. Unafanya nini?
  What are you doing? What do you do?
 9. Unasema Kiswahili?
  Do you speak Swahili?
 10. Unasema Kiingereza?
  Do you speak English?
 11. Ninasema Kiswahili kidogo tu.
  I speak just a little Swahili.
 12. Kaa chini!
  Sit down! Have a seat!
 13. Nimefurahi kukuona.
  I'm glad to see you.
Author
zimpe9210
ID
209355
Card Set
2A. Vocabulary Warm-Up
Description
Vocabulary Warm-Up
Updated