-
Is your name Liz?
Jina lako ni Liz?
-
No, my name is not Liz.
Hapana, jina langu si Liz.
-
Is this Mark?
Je, huyu ni Mark?
-
No, this is not Mark.
Hapana. Huyu si Mark.
-
Are they Americans?
Wao ni Wamarekani?
-
No, they are not Americans.
Hapana, wao si Wamarekani.
-
Is he a student?
Je, yeye ni mwanafunzi?
-
No, he is not a student.
Hapana, yeye si mwanafunzi.
|
|