Swahili Vocab for Test 1

  1. -a ngozi
    (of) leather
  2. ambacho/ambalo
    which
  3. bado
    not yet
  4. buibui

    black veil
  5. barua-pepe
    email
  6. blauzi
    blouse/s
  7. buluu
    blue
  8. chupi
    underwear/panties
  9. -ekundu
    red
  10. -enyewe
    alone
  11. -eupe
    white
  12. -eusi
    black
  13. fahamu
    understand/know
  14. gani
    which or what type
  15. gauni
    a dress
  16. glovu
    glove/s
  17. harusi ao arusi
    wedding
  18. kahaweia
    brown
  19. kanzu
    a man's gown
  20. kapatula
    shorts
  21. kaundasuti
    type of safari suit
  22. khanga/kanga
    • a wrap with a saying or
    • proverb on it
  23. kijani
    green
  24. kijivu
    grey
  25. kitenge
    wrap with no sayings
  26. kofia
    hat
  27. koti
    coat
  28. kwamba
    that (I know that will come)
  29. maua
    flowers
  30. mbalimbali
    various
  31. mkanda
    belt
  32. mpendwa
    dear
  33. mtandio or shela
    a type of veil
  34. nami
    with me
  35. nanyi
    with you all
  36. nao
    with them
  37. nasi
    with us
  38. nawe
    with you (singular)
  39. naye
    with him/her
  40. nguo
    dress
  41. nguo za harusi
    wedding dress
  42. njano
    yellow
  43. pokea
    receive
  44. pwani
    coast/coastal area
  45. rangi
    color
  46. shati oa tisheti
    shirt
  47. sidiria
    bra
  48. sura
    facial look/s
  49. suruali
    long trousers/pants
  50. suti
    suit
  51. sweta
    sweater
  52. tembelea
    visit someone
  53. tofautitofauti
    different, various
  54. uwanja wa ndege
    airport
  55. vaa
    wear, put on clothes
  56. vazi
    outfit, dress
  57. viatu
    shoes
  58. zipi
    which ones
  59. acha bwana/mama!
    stop it! / don't be ridiculous
  60. bei gani
    how much? what is the price?
  61. bei ghali!
    very expensive
  62. bei rahisi
    very cheap
  63. bilauri ao glasi
    a glass
  64. birika
    teapot/ coffeepot
  65. chemsha
    boil
  66. (ma)chungwa
    orange
  67. chupa
    bottle(s)
  68. (ma)embe
    mango(es)
  69. -furahi
    be happy
  70. haiwezekani!
    utterly impossible!
  71. kaanga
    fry
  72. karanga
    peanuts
  73. karibu na
    near
  74. karoti
    carrot
  75. kikombe/ vikombe
    cup/cups
  76. kisu/ visu
    knife/knives
  77. kitu
    a thing
  78. kitunguu/ vitunguu
    onion/s
  79. kondoo
    sheep
  80. kuku
    chicken
  81. kwa
    to, for, by, with
  82. limau
    lemon
  83. lipa
    pay
  84. mafuta ya kupikia
    cooking oil
  85. maharage
    beans
  86. mahindi
    corn/ maize
  87. matunda
    fruits
  88. mboga
    vegetable(s)
  89. mbuzi
    goat
  90. mchele
    rice
  91. mchicha
    spinach
  92. mchuzi
    sauce/gravy
  93. miaka
    years
  94. mkate/ mikate
    bread/ loaves
  95. mpole
    kind, gentle
  96. mpunga
    rice on the field
  97. mwanangu
    my child
  98. nanasi
    pinapple
  99. nani?
    who
  100. ndizi
    banana/s
  101. -ngapi
    how many?
  102. ng'ombe
    cow, cattle
  103. nguruwe
    pig
  104. nunua
    buy
  105. nyama ya kondoo
    mutton
  106. nyama ya kuchoma
    roast meat
  107. nyama ya kuku
    chicken
  108. nyama ya mbuzi
    goat meat
  109. nyama ya ng'ombe
    beef
  110. nyama ya nguruwe
    pork
  111. nyana
    tomato/es
  112. ongeza kidogo
    add a little more
  113. papai
    papaya
  114. (ma)parachichi
    avocado/es
  115. pika
    cook
  116. pilipili
    pepper
  117. punguza kidogo
    lower the price
  118. sahani
    plate/s
  119. siagi
    butter
  120. tarehe
    date (calendar)
  121. tengeneza chakula
    prepare food
  122. uma/ nyuma
    fork/s
  123. uza
    sell
  124. viazi
    potatoes
  125. wali
    (cooked) rice
  126. yai/ mayai
    egg/s
  127. zawadi
    present/s
  128. ambako
    where?
  129. andaa
    prepare
  130. asubuhi na mapema
    early in the morning
  131. kabichi
    cabbage
  132. kachumbari
    salad
  133. katakata
    cut into pieces
  134. kiasi
    a little bit
  135. madafu
    green coconut
  136. mno
    a lot
  137. ndimu
    lime
  138. nyunyiza
    sprinkles
  139. sehemu
    part, area
  140. shamrashamra
    hustle and bustle
  141. si kitamu kabisa
    not delicious at all
  142. si sana
    not much
  143. sipendi kabisa
    I do not like at all
  144. vinywaji
    drinks
Author
hw.hair
ID
205233
Card Set
Swahili Vocab for Test 1
Description
Swahili
Updated