Connecting Words (Swahili-English)

  1. au
    or
  2. na
    and/with/by
  3. katika
    in/into/inside of
  4. basi
    so/well/finished/that's enough
  5. labda
    maybe
  6. tu
    only/just
  7. tangu
    since
  8. kama
    approximately/as/if/like/whether
  9. kabisa
    definitely/absolutely
  10. pengine
    perhaps/sometimes/otherwise
  11. bado
    not yet/still
  12. kwa hiyo
    therefore
  13. kuhusu
    about
  14. hakika
    certainly/indeed/surely
  15. kwamba
    that
  16. kwa kuwa
    because
  17. isipokuwa
    except
  18. hali
    state/condition
  19. na kadhalika (n.k.)
    etcetera
  20. tayari
    ready
  21. muda
    period of time
  22. mara
    time (one time)
  23. kawaida
    a habit/the normal
  24. kama kawaida
    as usual
  25. pamoja
    together/with
  26. kiasi
    a certain amount/quantity
  27. kamwe
    never
  28. zaidi
    more
  29. karibu
    almost/welcome
  30. vivi hivi
    in the same way
  31. vivyo hivyo
    in that same way
  32. kwa
    to/from/for/by
  33. pia
    also
  34. kweli
    really
  35. kumbe
    expression of surpise
  36. kwa kawaida
    usually/normally
  37. si kawaida
    it's not usual
  38. kuliko
    than (comparative)
  39. hasa
    especially
  40. tofauti
    different/difference
  41. mbalimbali
    various/different
  42. badala ya
    instead of
Author
somersetcat
ID
201696
Card Set
Connecting Words (Swahili-English)
Description
connecting words
Updated