Health/Body (English-Swahili)

  1. to breathe
    pumua
  2. to use
    tumia
  3. to bleed
    vuja damu
  4. to be in pain
    sikia maumivu
  5. to touch
    gusa
  6. to take hold of
    shika
  7. to admit/lay down
    laza
  8. to take
    chukua
  9. to swallow
    meza
  10. to recover
    pona
  11. to grow up
    kua
  12. to be ill
    umwa
  13. to vomit
    tapika
  14. to cough
    kohoa
  15. to itch
    washa
  16. to pierce/stab/inject
    choma
  17. to fall over
    anguka
  18. to tie up
    funga
  19. to test/measure
    pima
  20. stool
    choo
  21. urine
    mkojo
  22. to live
    ishi
  23. to die
    kufa
  24. to give birth
    zaa
  25. to be born
    zaliwa
  26. age
    umri
  27. life
    maisha
  28. health
    afya
  29. body
    mwili/mwili
  30. pain
    mauvimu
  31. sick person
    mgonjwa
  32. dizzy
    kizunguzungu
  33. medicine
    dawa
  34. symptoms
    dalili
  35. cold/flu
    mafua
  36. phlegm
    makohosi
  37. cold
    baridi
  38. temperature
    jotoridi
  39. needle
    sidano
  40. diarrhoea
    harisha
  41. problem
    tatizo/matatizo
  42. nausea
    kichefuchefu
  43. swelling
    uvimbe
  44. scab
    kidonda/vidonda
  45. tablet
    kidonge/vidonge
  46. bandage
    bandaji
  47. injury/wound
    jeraha/majeraha
  48. pregnant woman
    mjamzito
  49. pregnancy
    mimba
  50. hospital
    hospitali
  51. emergency
    dharura
  52. ward
    wodini
  53. fat
    nene
  54. danger
    hatari
  55. weight
    uzito
  56. fatness
    unene
  57. razor/blade
    uembe
  58. adult
    mtu mzima
  59. clinic
    zahanati
  60. hair
    nywele
  61. head
    kichwa
  62. eye
    jicho/macho
  63. ear
    sikio/masikio
  64. eyebrows
    nyusi
  65. face
    uso
  66. nose
    pua
  67. brain
    ubongo
  68. eyelash/lid
    ukope
  69. chin
    kidevu
  70. mouth/lip
    mdomo
  71. throat
    koo
  72. moustache
    masharabu
  73. beard
    ndevu
  74. sideburn
    sharafa
  75. neck
    shingo
  76. tooth
    jino/meno
  77. heart/spirit
    moyo
  78. shoulder
    bega/mabega
  79. back
    mgongo
  80. chest
    kifua
  81. lung
    pafu
  82. skin
    ngozi
  83. vein
    mshipa
  84. arm/hand
    mkono/mikono
  85. palm
    kigonja/vigonja
  86. finger/toe
    kidole/vidole
  87. big toe/thumb
    kidolegumba
  88. nail
    ukucha
  89. elbow
    kiwiko
  90. tummy
    tumbo/matumbo
  91. waist/hips
    kiuno
  92. bottom
    tako
  93. leg/foot
    mguu/miguu
  94. thigh
    paja
  95. blood
    damu
  96. heel
    kisingo
  97. bone
    mfupa/mifupa
  98. sole/footprint
    unyayo
Author
somersetcat
ID
201692
Card Set
Health/Body (English-Swahili)
Description
words relating to health/the body
Updated