Swahili Ch 4 Msamiati

  1. bafu
    bathroom, washroom
  2. bakuli
    bowl
  3. baraza
    sitting/ living room
  4. chai
    tea
  5. chakula
    food
  6. chemsha
    boil
  7. chumba cha kulala
    bedroom
  8. chumba cha kulia
    dining room
  9. chupa ya maua
    flower vase
  10. feni
    fan (ceiling fan)
  11. godoro
    mattress
  12. hai
    alive
  13. hali ngumu
    hard living conditions 
  14. hali ya hewa
    weather (literally; condition of the air)
  15. hapa
    here
  16. hewa nzuri
    fresh air
  17. jiko
    kitchen
  18. joto
    warmth, hotness
  19. joto kali sana
    very hot weather
  20. jua kali sana
    very hot sun
  21. kabati
    cupboard
  22. kaka
    brother
  23. kalamu
    pen
  24. kaya
    homestead
  25. kelele
    noise
  26. kitanda
    bed
  27. kuangalia
    to watch
  28. kuna
    there is/ there are
  29. kwa sababu
    because
  30. kwetu
    our place
  31. lakini
    however, but, even then
  32. makochi
    sofa
  33. maradhi mengi
    many illnesses
  34. mavuno mazuri
    a good harvest
  35. mbona
    why? / how come? / how on earth?
  36. meza
    table/s
  37. mji
    town, household
  38. mkutano
    meeting
  39. mpishi
    a cook
  40. mto/ mito
    pillow/ pillows
  41. mvua kali
    heavy rain
  42. niko
    I am at a place
  43. nje
    outside
  44. njia
    the way
  45. nyumba
    house
  46. ofisi
    office
  47. orofa
    storey, floor
  48. penseli
    pencil
  49. pumzika
    rest
  50. sahani
    plate
  51. salama
    safe/ well
  52. samahani
    excuse me/ us
  53. shida nyingi
    lots of problems
  54. shuka
    bed sheet/ s
  55. sikia
    hear
  56. simu
    phone
  57. swichi ya feni
    switch for the (ceiling) fan
  58. swichi ya taa
    light switch
  59. taabani
    in bad need/ distress
  60. tayari
    ready
  61. televisheni
    television
  62. ubao
    black/ white board
  63. ukuta
    wall
  64. uma
    fork
  65. vijiko
    knives
  66. vitanda
    beds
  67. viti
    chairs
  68. vyoo
    toilets/ bathrooms
  69. vyumba
    rooms
  70. vyumba vya kulala
    bedrooms
  71. weza
    be able
  72. zulia
    carpet
Author
Anonymous
ID
178321
Card Set
Swahili Ch 4 Msamiati
Description
swahili
Updated