Somo la Pili Study Guide- Verbs

 1. Kufanana
  to look alike
 2. Kutoa
  to take away, offer, give
 3. Kuacha
  stop it, leave it alone
 4. Kuweza
  to be able
 5. Kununua
  to buy
 6. Kuuza
  to sell
 7. Kuongeza
  to add
 8. Kupunguza
  reduce
 9. Kusema
  to say, speak
 10. Kufurahi
  to be happy
 11. Kujifunza
  to learn
 12. Kusikia
  to hear
 13. Kusikiliza
  to listen
 14. Kupiga picha
  to take a picture
 15. Kunywa
  to drink
 16. Kula
  to eat
 17. Kujua
  to know
 18. Kulala
  to sleep
 19. Kukimbia
  to run
 20. Kupita
  to pass (by)
 21. Kucheza
  to play
 22. Kufanya
  to do
 23. Kujibu
  to answer
 24. Kuangalia
  to watch
 25. Kucheza dansi
  to dance
 26. Kuimba
  to sing
 27. Kucheka
  to laugh
Author
Anonymous
ID
176929
Card Set
Somo la Pili Study Guide- Verbs
Description
Swahili Verbs
Updated